Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda, aliposimama kuwasalimia, akiwa njiani kuelekea Musoma, Jumanne, Aprili 22, 2025. Balozi Nchimbi leo ameanza ziara ya siku tano katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Mara.
No comments