Dkt.Nchimbi amtembelea Mzee Butiku ofisini kwake
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, baada ya Balozi Nchimbi kufika ofisini kwa Mzee Butiku kwa ajili ya kumjulia hali na kutembelea taasisi hiyo inayohusika na kuendeleza urathi wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hasa katika masuala ya amani, umoja na maendeleo ya watu, leo Ijumaa, Februari 7,2025, jijini Dar es Salaam.
No comments