Header Ads

ad

Breaking News

Rais Dkt.Samia awajulia hali majeruhi, awapa pole majeruhi ghorofa Kariakoo

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwajulia hali na kuwapa pole majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Ilala jijini Dar es Salaam,Novemba 20, 2024.




No comments