Wafanyakazi wa kampuni ya LEONBET Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI mpya ya kimataifa ya michezo ya kubashiri ya mitandaoni na
kwenye Kasino ya LEONBET imeingia rasmi katika soko
la Tanzania.
Kampuni
hiyo ambayo inafanya shughuli zake
katika nchi 19 duniani kote, tayari imepewa leseni ya kufanya shughuli zake
nchini na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT).
Mkurugenzi
Mkuu wa LEONBET Tanzania, Tumaini Maligana anathibitisha wamepewa namba ya
usajili SBI000000051 kwa ajili ya
kuendesha michezo ya kubashiri ya mitandaoni na OCL00000027 kwa ajili ya
kufanya shughuli za michezo ya Kasino.
Maligana
alisema kuwa LEONBET inatoa huduma za kisasa zaidi na hiyo ndiyo
sababu kubwa ya kupanua wigo na kuingia katika soko la Tanzania.
“LEONBET inalenga kuleta mapinduzi katika
tasnia ya michezo ya kubashiri mtandaoni na kwenye kasino. Imejidhatiti kutoa huduma bora zaidi, uwepo wa kipekee
mtandaoni, na bonasi zinazovutia ili kuhakikisha kuwa wateja wetu wanapata
thamani halisi ya pesa zao.
Kampuni
hii ni ya kisasa zaidi na imejipanga kwa kukabiliana na ushindani wa michezo ya
kubashiri ya mitandaoni na kwenye Kasino kama tulivofanya katika nchi nyingine 19 duniani,” alisema
Maligana.
Alisema
kuwa kwa zaidi ya miaka 15, LEONBET imekuwa ikitoa huduma bora za kubashiri
michezo a mitandaoni na ya Kasino kwa wateja wake na kuwavutia wengi.
“LEONBET ipo tayari kuleta burudani hiyo kwa
Watanzania wote. Kwa kutumia simu ya mkononi, kompyuta, au Ipad, unaweza kubeti
kwenye michezo mbalimbali. Sloti zetu ni
za kuvutia, pia tuna michezo kibao ya kasino mtandaoni. Tumekuja kivingine
kabisa na tunawahakikishia wateja wetu malipo fasta, usajili rahisi, bonus za kibabe, odds kubwa, huduma masaa 24,”
alisema Maligana.
Alifafanua kuwa LEONBET imeleta huduma rahisi
na bora kwa wateja wa Tanzania na usajili wake ni rahisi sana.
“Ili
kujisajili, unatakiwa kuwa na namba ya
simu na neno la siri lako tu. Pia tunatoa njia rahisi za kuweka pesa na malipo
ya haraka kupitia mitandao yote ya simu nchini.
Huduma zetu kwa wateja zinapatikana kwa masaa 24 kila siku na
kukuwezesha kupata msaada wakati wowote unapohitaji,” alisema.
Kwa
mujibu wa Malingana, mteja yeyote atakayejisajili na kuwa sehemu ya familia ya
LEONBET, unapata Sh2,000 bure kama ofa maalumu ya kujiunga, ambayo utaendelea
kuipata kila unapoingia hadi mara nne kwa mwezi wa kwanza.
“Ofa
hii inakuwezesha kuanza safari yako ya ushindi bure kabisa. Kwa upande wa
michezo ya kasino, unapata bonasi ya ukaribisho ya asilimia 40 hadi Sh4
milioni, iliyogawanywa mara nne, kila moja ikiwa na bonasi ya asilimia 100 hadi Sh1,000,000. Tunaomba kila
mteja achangamkie ofa hii ya kibabe, asikubali impite, jiunge na LEONBET Leo, jiunge na Chimbo Jipya la
Washindi. Naomba wateja wetu wafuatilie zaidi kwenye mitandao yetu ya kijamii
ili kupata maelezo ya kina zaidi,” alisisitiza.
No comments