Header Ads

ad

Breaking News

MATUKIO KATIKA PICHA NAIBU WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI AKIPOKEA TAARIFA KUTOKA UCSAF

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akizungumza  wakati wa ziara yake katika ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Kanda ya Pwani ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo pamoja na taarifa ya mradi wa Tanzania ya Kidijitali wa ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini, Mikocheni jijini Dar es Salaam leo Septemba 10, 2024.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akipokea taarifa kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Mwasalyanda kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo pamoja na taarifa ya kina ya mradi wa Tanzani ya Kidijitali wa ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini wakati wa ziara yake katika ofisi hizo za Kanda ya Pwani zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam leo Septemba 10, 2024.

No comments