Header Ads

ad

Breaking News

Wananchi Ilala wachangamkia fursa ya upimaji magonjwa ya moyo

 

Wananchi wa Wilaya ya Ilala wakiendelea na huduma za vipimo wakati wa kambi maalumu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tiba mkoba inayofanyika kwa siku nne katika Zahanati ya Bungoni Kata ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kambi hiyo inafanywa na Hospitali ya JKCI Dar Group kwakushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu.

Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group, Gidion Mwangosi akimpa ushauri baada ya kupima mwananchi wa Ilala wakati wa kambi maalumu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tiba mkoba inayofanyika katika Zahanati ya Bungoni Kata ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kambi hiyo maalumu ya siku nne inafanywa na Hospitali ya JKCI Dar Group kwakushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu.

Afisa Utafiti na Mafunzo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Zabela Mkojera akimuuliza maswali ya ufahamu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza mwananchi aliyefika katika kambi maalumu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tiba mkoba inayofanyika katika Zahanati ya Bungoni Kata ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kambi hiyo maalumu ya siku nne inafanywa na Hospitali ya JKCI Dar Group kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu.

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Eva Wakuganda akimfanyia kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) wakati wa kambi maalumu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tiba mkoba inayofanyika katika Zahanati ya Bungoni Kata ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kambi hiyo maalumu ya siku nne inafanywa na Hospitali ya JKCI Dar Group kwakushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa jimbo la Ilala, Mhe. Mussa Azzan Zungu. Picha zote na JKCI

No comments