Trust Patrick yatangaza nafasi za masomo kidato cha kwanza kwa mwaka 2025
Shule ya Sekondari ya Trust St Patrick yenye maskani yake eneo la Sakina kwa Idd mkoani Arusha, ni moja ya shule za sekondari zinazofanya vizuri hapa nchini, inatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza mwaka 2025.
Kwa matokeo ya mwaka jana yaliyotangazwa hivi karibuni, wanafunzi wote walifaulu, daraja la kwanza wanafunzi 28 na daraja la pili wanafunzi wanane tu, hivyo wote wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano.
No comments