Header Ads

ad

Breaking News

Matukio ya picha katika kikao cha watalaam Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA), TANAPA

Wataalamu wa Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) Kitaifa kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakishiriki katika kikao cha pamoja na Menejimenti ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) chenye lengo la kuweka mikakati ya pamoja kwa ajili ya kusajili Anwani za Makazi katika Hifadhi za Taifa ili kuboresha shughuli za utalii.


Kikao hicho kilifanyika katika ofisi za Makao Makuu ya TANAPA, Arusha, Agosti 27,2024.









No comments