Home
/
Unlabelled
/
AMIRI JESHI MKUU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKU NISHANI YA MIAKA 60 YA JESHI LA ULINZI IKULU DAR ES SALAAM
AMIRI JESHI MKUU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKU NISHANI YA MIAKA 60 YA JESHI LA ULINZI IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi mbalimbali kwenye hafla ya kutunuku Nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam Agosti 29, 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla katikati na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa katika hafla ya kutunuku nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Tanzania JWTZ Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi akiwa katika hafla hiyo.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akishiriki katika hafla hiyo iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Nishani ya miaka 60, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda, Majenerali, Maafisa pamoja na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 29, 2024.
AMIRI JESHI MKUU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKU NISHANI YA MIAKA 60 YA JESHI LA ULINZI IKULU DAR ES SALAAM
Reviewed by Faharinews
on
12:29 PM
Rating: 5
No comments