Header Ads

ad

Breaking News

Waziri Nape apasua mawimbi akielekea kukagua mnara wa VODACOM Kisiwa cha Lyakanyasi



Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Nape Nnauye (Mb) akiwa na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Bi. Justina Mashiba wakiwa kwenye boti ya mwendokasi Ziwa Viktoria kuelekea kukagua mnara wa VODACOM uliopo katika Kata ya Chifunfu, Kijiji cha Chifunfu, Kisiwa cha Lyakanyasi, Sengerema mkoani Mwanza, Julai 18, 2024 katika ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi wa minara ya Mawasiliano mkoani humo.

#leavenooneunconnected #KandayaZiwa #connect8M #SmartTanzania # Mwanza









No comments