Header Ads

ad

Breaking News

WAZIRI NAPE AKAGUA MNARA WA VODACOM KIJIJI CHA KASHARA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Nape Moses Nnauye (Mb) amekagua maendeleo ya ujenzi wa mnara wa VODACOM uliopo katika Kijiji cha Kashara Kata ya Karambi wilayani Muleba, Julai 16, 2024 wakati wa ziara yake mkoani Kagera.

#leavenooneunconnected #KandayaZiwa #connect8M #SmartTanzania


No comments