Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT.SAMIA AZINDUA JENGO LA UTAWALA HALMSHAURI YA WILAYA YA KALAMBO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo na kupokea taarifa ya ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kutoka kwa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa, kabla ya ufunguzi  wa jengo hilo leo Julai 16, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi. 




No comments