Header Ads

ad

Breaking News

Rais Dkt.Samia awataka wahitimu Chuo cha Taifa cha Ulinzi kutumia maarifa waliyopata

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024, viongozi pamoja na wageni mbalimbali katika Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam, Julai 27, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam, Julai 27, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwa kwenye Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam, leo Julai 27,2024.




No comments