Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT.SAMIA AITUNUKIA TUZO MIKOA MITATU

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), akitoa tuzo kwa mikoa mitatu iliyofanya vizuri kwenye majadiliano na kuchangia Ukuaji wa Uchumi. Mikoa hiyo ni Dodoma, Dar es Salaam na Kilimanjaro katika Mkutano huo uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo, Julai 29, 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima Pro Business Environment Award kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kwa niaba ya Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam, Julai 29, 2024.

No comments