Header Ads

ad

Breaking News

Rais Dkt. Samia, Makamu wa Rais Dkt.Mpango, Rais wa Zanzibar Dkt.Mwinyi wakiwa na wajumbe wa TNBC




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhe. Dkt. Moses Kusiluka kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam, Julai 29, 2024.

No comments