Header Ads

ad

Breaking News

Naibu Katibu Mkuu Zuhura Yunus atembelea banda la Wizara ya Habari

Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Ajira na wenye Ulemavu Zuhura Yunus alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam na kujionea shughuli mbalimbali za utoaji Elimu kwa Umma kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA), Julai 5, 2024.



No comments