Header Ads

ad

Breaking News

DKT.SAMIA AZINDUA BARABARA YA SUMBAWANGA-MATAI-KASANGA YENYE UREFU KILOMETA 107

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan amezindua barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika katika eneo la Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Julai 16, 2024.



No comments