Header Ads

ad

Breaking News

SHAMRASHAMRA ZA MAPOKEZI, RAIS DKT. SAMIA AONGOZA MAZUNGUMZO RASMI NA RAIS WA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea, Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Seoul, Juni 2, 2024.


Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya nchi ya Jamhuri ya Korea jijini, Seoul Juni 2,2024

No comments