Header Ads

ad

Breaking News

DKT.NCHIMBI ATETA NA WANACHAMA, VIONGOZI WA SERIKALI NA CHAMA MJINI BABATI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wanachama na viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi mbalimbali mkoani Manyara, kwenye mkutano wa ndani uliofanyika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara mjini Babati, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo.







No comments