Header Ads

ad

Breaking News

DKT.NCHIMBI AFANYA MAKUBWA BABATI, ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akihutubia wananchi na kusikiliza kero zao mbalimbali, wakati na baada ya mkutano wa hadhara, uliofanyika katika Uwanja wa Stendi ya (zamani) Babati Mjini, Jumamosi Juni 1, 2024, ambapo alihitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo.





No comments