Header Ads

ad

Breaking News

BALOZI DKT.NCHIMBI AKIWA BUNGENI AKIFUATILIA BAJETI


Matukio mbalimbali katika picha, yakimwonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel  Nchimbi, akiwa ndani na nje ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kabla, wakati na baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali iliyosomwa na Waziri wa Fedha, Ndugu Mwingulu Lameck Nchemba, leo Alhamisi Juni 13, 2024.

Balozi Nchimbi alimbatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, Ndugu Ally Hapi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ndugu Suzan Kunambi na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Jokate Urban Mwegelo.




No comments