Header Ads

ad

Breaking News

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA UNHCR NA UNEP

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya Ikulu  jijini Dar es Salaam, Mei 15,2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s (kushoto) pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya (kulia) mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Mei 15,2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiagana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR), Bi. Mahoua Parum’s mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam,  Mei 15,2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), Clara Makenya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Mei 15, 2024.

No comments