Header Ads

ad

Breaking News

TUNDUMA, SONGWE YATIKA ZIARA YA NCHIMBI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia wananchi wa Tunduma wilayani Mbozi mkoani Songwe leo Jumatatu Aprili 15,2024


KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Mji wa Tunduma, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, leo Jumatatu Aprili 15, 2024, akiambatana na wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Issa Haji Usi Gavu, Katibu wa NEC - Oganaizesheni na Amos Gabriel Makala, Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo. 

Balozi Dkt. Nchimbi ameingia mkoani Songwe kwa ziara ya siku mbili, Aprili 15 na 16, 2024, akitokea mkoani Rukwa, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa sita ya Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Ruvuma.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo

No comments