Header Ads

ad

Breaking News

RAIS SAMIA AKUTANA NA MJASIRIAMALI MAANAYATA DUTT KUTOKA INDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam, Aprili 6, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuelezea kuhusu picha ya Mlima Kilimanjaro aliyomzawadia Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam, Aprili 6, 2024.

No comments