Header Ads

ad

Breaking News

M-BET YAMZAWADIA MSHINDI WA PERFECT 12 MILIONI 140.5, YAZINDUA KAMPENI YA M-BET LIKES YOU

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet Tanzania,Allen Mushi (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi, mshindi wa droo ya Perfect 12, Yahya Bakari ambaye ameshinda milioni 140.5.Katika hafla ya makabidhiano hayo, M-bet pia ilizindua kampeni mpya ijulikanyo kwa jina la M-Bet Likes You ambayo itawawezesha washindi mbalimbali kushinda zawadi ya kushuhudia mchezo wa fainali wa mataifa ya Ulaya nchini Ujerumani kuanzia Juni 14 mpaka Julai 14.

Mshindi wa droo ya Perfect 12, Yahya Bakari katika pozi mara baada ya kukabidhiwa Sh milioni 140.5 baada ya kushinda droo ya Perfect 12. Katika hafla ya makabidhiano hayo, M-bet pia ilizindua kampeni mpya ijulikanyo kwa jina la M-Bet Likes You ambayo itawawezesha washindi mbalimbali kushinda zawadi ya kushuhudia mchezo wa fainali wa mataifa ya Ulaya nchini Ujerumani.

Mshindi wa droo ya Perfect 12, Yahya Bakari akinyoshea kidole eneo lililoandiwa kiasi cha Sh milioni 140.5 alizoshinda kupitia droo ya Perfect 12 ya kampuni ya M-Bet. Mbali ya makabidhiano hayo, M-Bet pia ilizindua kampeni mpya ijulikanyo kwa jina la M-Bet Likes You ambayo itawawezesha washindi mbalimbali kushinda  zawadi ya kushuhudia mchezo wa fainali wa mataifa ya Ulaya nchini Ujerumani

No comments