Header Ads

ad

Breaking News

WATAALAMU WA JKCI WAPATIWA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA KUWAKINGA WAGONJWA MAAMBUKIZI

Mwezeshaji wa kitaifa wa mafunzo ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtoa huduma na kutoka kwa mtoa huduma kwenda kwa mgonjwa (IPC) ambaye pia ni Daktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Josephat Luyaga akiwafundisha wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) namna ya kujikinga na maambukizi wakati wa mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoanza leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mwezeshaji wa kitaifa wa mafunzo ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtoa huduma na kutoka kwa mtoa huduma kwenda kwa mgonjwa (IPC) ambaye pia ni Afisa Uuguzi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Odillo Byabato akiwafundisha wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kujikinga na maambukizi wakati wa mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoanza leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Jilala Luchagula akichangia mada wakati wa mafunzo ya siku tatu ya namna ya kujikinga na kuwakinga wagonjwa na maambukizi (IPC) yanayofanyika katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

 Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Flora Kasembe akielezea namna ya kujikinga na maambukizi wakati wa kutoa huduma kwawagonjwa wakati wa mafunzo ya siku tatu ya namna ya kujikinga na kuwakingawagonjwa na maambukizi (IPC) yanayofanyika katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
 Wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika makundi ya kujadilina wakati wa mafunzo ya siku tatu ya namna ya kujikinga na kuwakinga wagonjwa na maambukizi (IPC) yanayofanywa na wawezeshaji wa kitaifa wa mafunzo hayo leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. 
 Wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika makundi ya kujadilina wakati wa mafunzo ya siku tatu ya namna ya kujikinga na kuwakinga wagonjwa na maambukizi (IPC) yanayofanywa na wawezeshaji wa kitaifa wa mafunzo hayo leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Picha zote na JKCI

No comments