Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT.SAMIA ASHIRIKI HITIMA YA MZEE ALI HASSAN MWINYI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa hitima ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki, Februari 29,2024. Hitima hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonesho Nyamazi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Machi 3, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wajane, Ndugu na Jamaa wakati wa hitima ya Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki Februari 29, 2024. Hitima hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Machi 3, 2024.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa  hitima ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki, Februari 29, 2024. Hitima hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Machi 3, 2024.Watoto wa madrasa katika khitma ya Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki, Februari 29,2024, hitima hiyo imefanyia katika viwanja vya maonesho Nyamazi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Machi 3, 2024. Baadhi ya viongozi na wananchi wakiwa kwenye hitima ya ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki Februari 29, 2024, hitima hiyo imefanyika katika viwanja vya maonesho Nyamazi Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, Machi 3, 2024.

No comments