Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT.SAMIA APOKEA RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) KWA MWAKA 2022/23 NA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa mwaka 2022/2023 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo CP. Salum Hamduni Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, Machi 28, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Charles Kichere Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, 28, 2024.

No comments