Header Ads

ad

Breaking News

DKT.NCHIMBI ATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM, WASANII WA TOT

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na watumishi wa vyombo vya habari vya Africa Media Group Limited (AMGL), Uhuru Publications Limited (UPL) Uhuru Fm na Uhuru Media Group (UMG) baada ya ziara ya kuvizungukia vyombo hivyo na kujionea utendaji kazi wake, leo Alhamis, Machi 7, 2024, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na baadhi ya watangazaji wa Radio Magic Fm, waliokuwa chumba cha kutangazia, alipofanya ziara katika Ofisi za Africa Media Group Limited, kujionea namna vyombo hivyo vinavyofanya kazi ya kuhabarisha, kuburudisha na kuelimisha umma, ikiwa ni sehemu ya ziara yake, ambayo pia ilimfikisha Uhuru Publications Limited (UPL) Uhuru FM na Uhuru Media Group (UMG) kujionea vinavyofanya kazi, leo Alhamisi, Machi 7, 2024, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Uhuru Fm, Amina Aziz wakati akitembezwa maeneo mbalimbali ya redio hiyo, kujionea inavyofanya kazi, wakati alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea vyombo vya habari vya African Media Group Limited (AMGL), Uhuru Publications Limited (UPL), Uhuru Fm na Uhuru Media Group (UMG) leo Alhamis, Machi 7, 2024, jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Watumishi na Wasanii wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), alipofanya ziara ya kutembelea ofisi yao maeneo ya Mwananyamala jijini Dar Es Salaam, leo Alhamis, Machi 7, 2024, ambapo alipata nafasi ya kusikiliza maoni yao juu ya utendaji kazi wa bendi hiyo kubwa na maarufu nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipata maelezo kutoka kwa Uongozi wa Uhuru Publications Limited, jinsi chombo hicho cha habari kinavyotekeleza majukumu yake. Kutoka kulia pichani ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru, Ramadhani Mkoma, Mkuu wa Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda, Mkurugenzi Mkuu wa Vyombo vya Habari vya CCM, Shaaban Kissu, Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi, Dunia Mibavu, Kaimu Meneja wa Utawala, Uwezo Kasongo na Kaimu Meneja Biashara, Elisante Mzengi. Balozi Dkt. Nchimbi alitembelea UPL, wakati akiwa alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea vyombo vya habari vya African Media Group Limited (AMGL), Uhuru Publications Limited (UPL), Uhuru Fm, na Uhuru Media Group (UMG) leo Alhamis, Machi 7, 2024, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na watumishi wa vyombo vya habari vya Africa Media Group Limited (AMGL), Uhuru Publications Limited (UPL) Uhuru Fm na Uhuru Media Group (UMG) baada ya ziara ya kuvizungukia vyombo hivyo na kujionea utendaji kazi wake, leo Alhamis, Machi 7, 2024, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda akizungumza mbele ya wafanyakazi wa vyombo vya habari vya CCM

No comments