Header Ads

ad

Breaking News

DKT. NCHIMBI AKUTANA NA VIONGOZI WA SIMBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza jambo na viongozi wa Klabu Soka ya Simba, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdalla Muhene (aliyeshikana nae mkono), Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu (kushoto kwa Dkt. Nchimbi) na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally (wa pili kutoka kulia pichani).

Wengine ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (wa tatu kutoka kulia pichani), Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Adam Ngalawa (wa kwanza kulia) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Juma Simba ‘Gadafi’ wakifuatilia mazungumzo hayo. Ilikuwa wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Jumanne, Machi 12, 2024, Ikulu, Dar es Salaam.

No comments