Header Ads

ad

Breaking News

WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA ROMBO WAMTEMBELEA KATIKA MKUU CCM

 Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, baadhi ya madiwani wa CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, wajumbe wa Kamati za Siasa Kata nne za Wilaya ya Rombo na wajumbe wa Bodi ya Ligi ya Mkenda Cup, wilayani humo, wakisikiliza jambo wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwapatia simulizi alipokuwa Shule ya Sekondari ya Seminari ya Uru mkoani Kilimanjaro. Viongozi hao walifika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, kumtembelea Dkt. Nchimbi, leo Jumatano, Februari 7, 2024.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha mbalimbali za pamoja na wajumbe wa Kamati ya Siasa kata nne, madiwani wa CCM wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo na Wajumbe wa Bodi ya Ligi ya Mkenda Cup, wilayani humo, baada ya viongozi hao kumtembelea Dkt. Nchimbi ofisini, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo Jumatano, Februari 7, 2024.








No comments