RAIS DKT.SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed jijini Addis Ababa nchini Ethiopia Februari 18, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.
No comments