Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT. SAMIA AMPOKEA RAIS DUDA WA POLAND IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda wakati wa Wimbo wa Taifa ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.
Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.Rais wa Poland Andrzej Duda akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 9, 2024.

No comments