Header Ads

ad

Breaking News

NCHIMBI NA NAPE ‘MAZUNGUMZO MAZITO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Ndugu Nape Moses Nnauye, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakiwa wamezama kwenye mazungumzo mazito kuhusu masuala mbalimbali, baada ya Waziri huyo kumtembelea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Nchimbi ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, Alhamis, Februari 1, 2024.






No comments