Header Ads

ad

Breaking News

Balozi Dkt.Nchimbi ateta na viongozi mbalimbali Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi (kulia), akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi, akisalimiana na kubadilishana mawazo na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, alipokutana nao wakati wa kusubiria usafiri, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), mkoani Kilimanjaro.

No comments