NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO AKUTANA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA DORIS MOLLEL
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel (kushoto) katika ofisi ya Naibu Waziri Mkuu leo Novemba 4, 2023 bungeni jijini Dodoma. Taasisi hiyo inajihusisha na kusaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti).Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel (kushoto) katika ofisi ya Naibu Waziri Mkuu leo Novemba 4, 2023 bungeni jijini Dodoma. Taasisi hiyo inajihusisha na kusaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel (kushoto), katika ofisi ya Naibu Waziri Mkuu leo Novemba 4, 2023 bungeni jijini Dodoma. Taasisi hiyo inajihusisha na kusaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti).
No comments