Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KILIMO CHA MBOGA MBOGA, MATUNDA NCHINI QATAR



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar, Oktoba 2, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa ukumbini kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar, Oktoba 2, 2023.

Shamrashamra za Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) nchini Qatar tarehe 02 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Amiri wa Taifa la Qatar Mhe. Sheikh Tamim Bin Hamad Al-Than wa pili kutoka kushoto kwake pamoja na viongozi wengine wakati wa Wimbo wa Taifa wa Qatar ukiimbwa kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kilimo cha Mbogamboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) uliofanyika Doha Oktoba 2, 2023.

No comments