WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA NISHATI
![]() |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakimsikiliza Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha umeme wa Gesi ya SONGAS, Dkt. Michael Mingodo (kulia), wakati alipotembelea banda la maonesho la kampuni hiyo baada kufungua Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Septemba 20, 2023.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Nishati kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 20, 2023. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments