Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA HOSPTALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI MTWARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Msanifu Majengo kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi Saul Nkini kuhusiana na hatua mbalimbali za Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani mkoani Mtwara Septemba 15, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara  Septemba 15, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani mkoani Mtwara Septemba 15, 2023
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara Septemba 15, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani mkoani Mtwara  Septemba 15, 2023
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua vyumba mbalimbali vya uchunguzi na kutolea huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani mkoani Mtwara Septemba 15, 2023  

 Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani mkoani Mtwara mara baada ya uzinduzi Septemba 15, 2023

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, Mikindani mkoani Mtwara Septemba 15, 2023

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, Mikindani Mkoani Mtwara Septemba 15, 2023.

No comments