KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM NCHINI TANZANIA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Nam Tien, kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo Jumanne, Septemba 12, 2023, ambapo balozi huyo alifika ofisini hapo kwa ajili ya kumuaga Ndugu Chongolo, baada ya kumaliza muda wa kuiwakilisha nchi yake hapa Tanzania.
No comments