Header Ads

ad

Breaking News

CHONGOLO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, WATETA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Daniel Chongolo, leo Ijumaa, Septemba 29, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Bi.Chen Mingjian, aliyeambatana na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, yaliyolenga kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji kati ya pande hizo mbili, pamoja na kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidugu baina ya Tanzania na China chini ya uongozi wa CCM na CPC, mtawalia.

No comments