WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BODI ZA WAKURUGENZI TANAPA, TTB

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua Bodi za wakurugenzi za Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), jijini Arusha.
Waziri Mchengerwa ameagiza kazi ya uhifadhi na kutangaza utalii iendelee kwa kasi na ubunifu mkubwa.
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasi na Utalii, Dkt.Hassan Abbas
No comments