Header Ads

ad

Breaking News

Wafanyakazi JKCI wamuaga Profesa William Mahalu

Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu waTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisukuma toroli lililobeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo Marehemu Profesa William Mahalu ambaye pia alikuwa daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wakielekea kwenye ibada ya kumuaga iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Muhimbili.

Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisukuma toroli lililobeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo Marehemu Profesa William Mahalu ambaye pia alikuwa daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wakielekea kwenye ibada ya kumuaga iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Muhimbili.

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wanataaluma ya afya wakiwa katika ibada ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo Marehemu Prof. William Mahalu iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Muhimbili.

Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Asha Izina akimfariji mtoto wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wadhamini ya Taasisi hiyo Marehemu Prof. William Mahalu wakati wa ibada ya
kumuaga iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
usharika wa Muhimbili. Picha zote na Khamis Mussa

No comments