RAIS WA INDONESIA JOKO WIDODO AWASILI TANZANIA
RAIS wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo akisalimia na Waziri wa wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax
RAIS wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo, amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia inayoanza Agosti 21 – hadi 22, 2023.
Mgeni huyo ambaye amewasili saa 4:40, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, alipokelewa na upokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax.
No comments