Chongolo afanya mazungumzo na Kansela wa Chama cha Kikomunisti cha Cbhina
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela wa Chama Cha Kikomunisti Cha China (CPC), Ndugu Xu Sujiang katika Ubalozi wa China nchini Tanzania pamoja na Kansela wa Uchumi na Biashara wa ubalozi huo, Chu Kun, Agosti 22, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
No comments