Header Ads

ad

Breaking News

Balile: Ni vizuri tuzione kanuni za habari

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema mchakato wa kutunga kanuni za habari wanasikia ukiwa ukingoni kukamilika, hivyo muhimu wazione.

Balile amezungumza hayo katika kikao kilichowakutanisha wahariri na wajumbe wa Umoja wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), Agosti 25,2023 jijini Dar es Salaam.

"Mchakato wa kutunga kanuni za habari tunasikia unakaribia kukamilika, hivyo tungependa kuziona hizo kanuni," amesema Mwenyekiti wa Jukwaa hilo.







No comments