DK.SHEIN AZUNGUMZA NA GAVANA WA BENKI YA TANZANIA ( BOT) ANAYEMALIZA MUDA WAKE PROFESA NDULU IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa
Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu,
alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga rasmin kwa kumaliza muda wake wa Kazi
BOT, hafla hiyo imefanyika leo IkuluZanzibar 8-1-2018 .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Gavana wa
Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu,
wakitoka katika ukumbi baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar
kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi BOT
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja
na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno
Ndulu na maofisa wa BOT aliofuatana nao .
Picha na Ikulu
No comments