SPIKA NDUGAI AHUDHURIA MAZISHI YA FAMILIA YA ALIYEKUWA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA, GREGORY TEU WILAYANI MPWAPWA

Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiwasili katika Msiba wa
familia ya Mbunge Mstaafu wa Mpwapwa Mjini, Gregory Teu
uliotokea Septemba 18, 2017 nchini Uganda, ambapo mazishi
yanafanyika leo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akiongoza viongozi Mbalimbali wa Serikali katika kuaga miili ya familia ya aliyekuwa Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara, Gregory Teu, katika msiba uliofanyika
leo nyumbani kwake Mpwapwa mkoani Dodoma.
Wananchi
Mbali mbali waliohudhuria katika msiba wa familia ya aliyekuwa Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory George Teu uliotokea Septemba 18, 2017 nchini Uganda, katika mazishi yaliyofanyika leo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai (kushoto), akiongoza viongozi mbalimbali
wa Serikali katika misa ya kuaga miili ya familia ya aliyekuwa Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory Teu, uliofanyika leo
katika kanisa la Anglikana Tanzania (Dayosisi ya Mpwapwa)iliyopo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Spika
wa Bunge, Job Ndugai akiweka shada ya maua katika mazishi ya
familia ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory
Teu, yaliyofanyika leo katka makaburi ya Kanisa la Anglikana
Tanzania (Dayosisi ya Mpwapwa), iliyopo Mpwapwa mkoani Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments