 |
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Alhaj Adamu Kimbisa
akimtolea ufafanuzi wa zawadi ya kinyango Mjumbe wa kamati kuu ya chama
cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam
|
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Alhaj Adamu Kimbisa
akimtolea ufafanuzi wa zawadi ya kinyango Mjumbe wa kamati kuu ya chama
cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam uku katibu Mkuu wa
(CCM) akishuhudia zoezi hilo wakati wa hafla ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na Katibu Mkuu wa CCM, Kinana.
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana
akizungumza kabla ya Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha
vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam kukabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Adamu Kimbisa wakati wa hafla
ya Chakula cha Jion.
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akizungumza na balozi wa Vietnam Nguyen kim Doanh.
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana
akifurahia jambo na wageni wake toka chama cha Kikomunisti cha Vietnam
(VCP) jana wakati wa hafla ya chakula cha jion.
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comred Abdurahman Kinana akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha jion.
Wajumbe wa Chama cha kikomunisti cha Vietnam (VCP) pamoja na Katibu
mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazaza CCM wa (pili toka kushoto)
wakifuatilia mazungumzo ya Katibu mkuu wa CCM katika hafla ya chakula
cha jion.
Baadhi Wajumbe wa Sekretariet wakifuatilia mazungumzo ya Katibu mkuu wa CCM katika hafla ya chakula cha jion.
Katibu Mkuu wa CCM Comred Abdurahman Kinana na Mjumbe wa kamati kuu
ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam
wakinyanyua glasi kabla ya kuzigonganisha kutakiana heri kabla ya
chakula cha jion alicho mwandalia Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha
kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam Mjini dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Alhaj Juma Kimbisa
pamoja na Katibu wa idara ya SUKI kanal mstaaf Ngemela Rubiga
wakinyanyua glasi kabla ya kuzigonganisha kutakiana heri kabla ya
chakula cha jion Katibu mkuu wa CCM alicho mwandalia Mjumbe wa kamati
kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP) Comred Chau Van Lam Mjini
dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk.Abdallah Mabodi akiagana na
Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam (VCP), Comred
Chau Van Lam mara baada ya kumalizika hafla ya chakula cha Usiku
ilioandaliwa na Katibu mkuu wa CCM, Comred Abdulrahman Kinana mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM, Comred Abdulrahman Kinana akiagana
na Mgeni wake Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha vietnam
(VCP), Comred Chau Van Lam mara baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula
cha jion aliomwandalia mgeni wake mjini Dodoma.
(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
No comments