Header Ads

ad

Breaking News

William Ngeleja arejesha milioni 40.4 za Escrow

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (kushoto), akionesha nakala ya malipo ya kiasi cha sh. milioni 40.4 alizozirejesha Serikalini (TRA), fedha alizopewa kama msaada kutoka kwa James Rugemalira wa Kampuni ya VIP Engeneering and Marketing Ltd, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari,  Zamaradi Kawawa.
Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati akitoa taarifa ya kurejesha kiasi cha shilingi milioni 40.4 Serikalini (TRA), fedha alizopewa kama msaada toka kwa James Rugemalira wa Kampuni ya VIP Engeneering and Marketing Ltd. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa.
 
 



No comments